Mikono ya Kipa Diarra Imepatwa na Nini Msimu Huu?
Miongoni mwa Makipa bora ndani ya Ligi Yetu, Djigui Diarra aliyeweka ‘standard’ na identity ya Modern Golikipa amekumbwa na nini Msimu huu?
Katika mechi kadhaa ambazo Mashabiki wa Yanga wakiamini timu yao inaondoka na alama Tatu muhimu na ‘cleansheet’ juu lakini Diarra anafanya makosa na kutia Doa ushindi wao.
Nini Kimemkuta Diarra Msimu huu?
No comments