Subscribe Us

Breaking News

Kibu Denis Aona Mwezi Leo, Afunga Mabao Mawili na Assist Mbili




KIBU DENIS 🔥

Kwa zaidi ya Mwaka alikua anafanya kila kitu kwa usahihi kama mchezaji anae tokea pembeni nguvu kasi run bila ya mpira kuulinda mpira ukiwa mguuni mwake kuisadia timu kujilinda

Kila akiwa uwanjani ulikua unamuona Winga wa level ya juuu alichokua anakikosa ni ufanisi tuu katika mpira wake wa mwisho, leo amefunga kamba mbili naku assists mara mbili

Kibu kama atamudu kua mfanisi katika mpira wake wa mwisho sio Tanzania tuu lakini anaweza kua miongoni mwa Mawinga hatari barani Africa 🙌🏼


Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa

                               app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii 

No comments