Subscribe Us

Breaking News

RAIS SAMIA AWAHUTUBIA VIONGOZI KATIKA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA NAMIBIA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke kuchaguliwa katika Taifa hilo la Namibia

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke kuchaguliwa katika Taifa hilo la Namibia tangu kupata Uhuru wake tarehe 21 Machi, 1990



Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa

                               app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii 

No comments