
LEO Juni 4,2026 Simba SC vs Azam FC watamenyana mchezo wa fainali CRDB Cup, Uwanja wa Gombani huku Air Manula akianza langoni.
Wengine ni Lusajo, Msindo, Lawi, Fuentes, Himid Mao, Sopu, Bin Zayd, Kitambala, Fei Toto, Idd Nado hawa watakuwa kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba ni Foba, Twalib, Zouzou, Kibeku, Kanoute, Akamiko, Abah, Alobogast, Zidane na J.J Ngita hii ni Mzizima Dabi ndani ya Zanzibar.
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
Tags
Michezo