Huyu Ndio Pilato Atakaye Amua Yanga Iende Robo Fainali ama la
Mwamuzi kutoka nchini 🇲🇷Mauritania Patrice Milazar ndiye amepewa jukumu la kuiamua mechi ya mwisho ya hatua ya makundi kati ya 🇹🇿Yanga dhidi ya 🇩🇿MC Algers.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi hii na ni muhimu kwa timu zote mbili kwani Yanga itakuwa ikihitaji ushindi ili ifuzu hatua ya robo fainali huku MC Algers ikihitaji sare pekee.



No comments