Mashujaa wapewa ahadi nzito mechi dhidi ya Yanga

Uongozi wa Mashujaa Fc umewaahidi wachezaji wao bonasi ya Tshs Milioni 50 kama wataifunga Young Africans Jumapili hii Feb 23.
Kama watafanikiwa kupata sare watapata bonasi ya Tshs Milioni 25.

No comments