Subscribe Us

Breaking News

Aunty Ezekiel amfariji Wema Sepetu kwa namna yake

 

Msanii wa Filamu Nchini Tanzania @auntyezekiel amezungumza na waandishi wa habari kubwa zaidi ni kuhusu swala la yeye kuwa na ujauzito huku akimtia moyo rafiki yeke Wema Sepetu ambapo kaika hilo amsema kwamba swala hilo ni swala la muda na muda ukifika itakuwa kama yeye anavyotaka “hatuwezi kufa wema hajapata mtoto wema sio tasa”

No comments