Camara na Che Malone kuikosa Coastal Union

Updates
Golikipa wa Simba, Moussa Camara
na beki Che Malone
wataikosa mechi NBC PL
kesho Machi 1 dhidi ya Coastal Union kutokana na majeraha

Camara anakosa mechi ya kwanza msimu huu baada ya kucheza mechi
(dakika zote 1800) na kupata Clean Sheets



No comments