Gallery

2/11/2025

 

Feisal Salum  amebakiza miezi 16 kwenye mkataba wake ndani ya AZAM FC 
Fei Toto amekataa ofa mpya ya mkataba wa miaka miwili na AZAM FC  ambayo inajumuisha ada ya kusaini ya $320,000 ambazo ni sawa na Tsh. 822,376,640 na mshahara wa kila mwezi wa $12,000 sawa na milioni 30,839,124 za kitanzania .

Huenda Kuna Offer Kubwa zaidi ipo mezani kwake na Hajatuambia

0 Comments:

Post a Comment