Subscribe Us

Breaking News

Kipa Camara Bado Clean Sheet Moja tu Afikie Rekodi ya Matampi

 Kipa Camara




BADO MOJA AZIFIKIE CLEANSHEET ZA MATAMPI

Mkali wa kulinda nyavu 'CleanSheet' katika Ligi Kuu (NBCPL) hadi sasa ni golkipa namba moja wa Simba, huu ukiwa ni msimu wake wa kwanza anacheza Ligi Kuu.

Hadi sasa katika mechi 18 za Ligi Kuu, Moussa Camara 'Pinpin' amefikisha CleanSheet 14. Mechi 12 zilizosalia unamuona akifikisha CleanSheet ngapi?

Kumbuka msimu uliopia aliyekuwa mlinda mlango wa Coastal Union Ley Matampi alikuwa golkipa bora akiwa na CleanSheet 15.

No comments