Subscribe Us

Breaking News

Kundi la Weusi lina Ubaguzi – El Mando

 

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Weusi ya Bembea.

Anasema kwa sasa Kundi la Weusi linafanya muziki hausikiki tena kama hakuna wanachofanya kabisa na hiyo yote ni kwa sababu Uwekezaji kwenye kundi hakuna.

Anasema Weusi ndio kundi pekee lililobaki la Hip Hop lakini halitaki kushika mkono vijana wachanga kwenye hame ya Bongo Fleva na wamebaki wale wale.

Miaka yote wasanii ni wale wale na ndio maana hata ushawishi wa kundi umeanza kuishi kabisa mtaani.

Wanachotakiwa kufanya ni kusajili wasanii wapya wa kizazi hiki ambao ni damu changa ili waje kuchangamsha kundi.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

No comments