Yanga walikuwa tishio sasa ni Shamba la Bibi – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia matukio ya namna Yanga wanavyofukuza makocha wao.
Anasema hali hii hata Simba walipitia ila kwa sasa wamejipata na kufukuza kocha lazima irudishe nyuma ari ya wachezaji.
Kosa kubwa wanalolifanya Yanga ni kwamba hawawaamini makocha wao, hata huyu mpya watamfukuza tu.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.


No comments