Kwa Mwendo Huu Manchester United Kushuka Daraja ni Swala la Muda tu
Tottenham imeifunga Manchester United mara tatu ndani ya msimu mmoja kwa mara ya kwanza baada ya miaka 35 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashetani hao Wekundu katika dimba la Tottenham.
FT: Tottenham 1-0 Man United
⚽ 12’ Madison
Man United dhidi ya Spurs msimu huu:
❌ Tottenham 1-0 Man United (EPL)
❌ Tottenham 4-3 Man United (Carabao)
❌ Man United 0-3 Tottenham (EPL)
No comments