Subscribe Us

Breaking News

Maxi Nzengeli Miwili Tena Jangwani

 


Maxi Nzengeli ataongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Ndani ya Yanga SC... Uongozi wa YANGA SC umeanza mazungumzo rasmi na timu ya AS Maniema Union ili kukamilisha dili hilo


Japo kiongozi wa timu ya AS Maniema Union Jenerali Kumba amesema mahusiano mazuri kati ya Yanga na timu hiyo ni makubwa hivyo uhakika wa mchezaji huyu kubaki jangwani ni mkubwa

No comments