Subscribe Us

Breaking News

Simba kuwafuata Coastal Union Ijumaa

 

Updates   Kikosi cha Simba Sc kinatarajia kuondoka jijini Dar Es Salaam siku ya Ijumaa Feb 28 kuelekea Arusha kwaajili ya mechi yao ijayo ya Ligi Kuu ya Nbc  dhidi ya Coastal Union. Mechi itapigwa Jumamosi Machi 1  Mnyama  anaenda siku moja kabla ya mechi.


No comments