Subscribe Us

Breaking News

SIMBA VS AL MASRY ROBO FAINALI


Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Al Masry katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo itaanzia ugenini kabla ya kumalizia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ikiifunga Al Masry, Simba itakutana na mshindi kati ya Zamalek na Stellenbosch FC katika nusu fainali.
Kama Simba wataingia nusu fainali basi watakutana na mshindi kati ya Zamalek SC 🇪🇬 au Stellenbosch FC 🇿🇦

 

ليست هناك تعليقات