Yanga ni Timu Bora zaidi Tanzania Kuliko Simba, Ogopa Wakitoka Kuoa
"Kwasasa ukweli ni kwamba Tangu mzunguko wa pili Yanga ndio timu bora kuzidi zote ukijumuisha na Simba. Yanga kwasasa wanaiwaza Simba na si Pamba siwakosei Pamba Ila huo mchezo utakuwa umemalizika kipindi cha kwanza tu Yanga wanauwezo Mkubwa sana na pia ogopa Yanga wakitoka kuoa wanakuwa wabaya sana"
GEOFF LEA, Mchambuzi CROWN FM.



No comments