Subscribe Us

Breaking News

Ramadhani: Baadhi ya tamaduni zimebadilika Zanzibar


Maelezo ya video,Jinsi tamadumi za Mwezi wa Ramadhani zilivyobadilika Zanzibar

Waumini wa dini ya Kiislam Afrika Mashariki wameanza rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Visiwani Zanzibar, wakaazi wengi ni waumini wa dini ya Kiislam, sasa wakati mafundisho na miongozo mingine ya kidini juu ya mwezi huu mtukufu imedumu kwa karne na karne, viongozi wa dini na hata waumini pia visiwani humo wanasema baadhi ya tamaduni zinabadilika. Sammy Awami ametuandalia taarifa ifuatayo

No comments