Subscribe Us

Breaking News

Coastal Union yamrudisha huyu Kocha kisa Yanga


Joseph Lazarom atasimama kwenye benchi la Coastal Union katika mchezo dhidi ya Yanga SC, utakaopigwa uwanja wa KMC COMPLEX, baada ya Kocha Juma Mwambusi kuondolewa kwenye benchi la Coastal Union.

Joseph Lazaro alikuwa Kocha msaidizi wa Juma Mwambusi ndani ya Coastal Union.



Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa

                               app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii 

No comments