Subscribe Us

Breaking News

Tundu Lissu: Tusicheleweshane, Gerezani Sio Sehemu Nzuri


Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iutake upande wa Jamhuri kulipeleka shauri lake Mahakama Kuu au Mkurugenzi wa Mashtaka atangaze nia ya kutokuendelea na mashtaka yanayomkabili na kusisitiza kuwa hakuna haja ya suala hilo kuendelea kucheleweshwa huku akiendelea kusota Magereza.

Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

Akiongea Mahakamani leo July 01,2025, Lissu amesema “Ushahidi upo tunaenda Mahakama Kuu hakuna tena kutuambia twende au tusiende kwahiyo habari ya kutuambia tusubiri tena uamuzi ufanyike mna ushahidi wa kutosheleza?, ndio au hapana kama ndio taarifa iende Mahakama Kuu kama hapana DPP aeleze kuwa Serikali haitoendelea na mashtaka “

“Tusicheleweshane, Magereza sio mahali pazuri especially ukiwa sehemu maalum gerezani ambayo wanawekwa Wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa”

Tundu Lissu Akiwa Mahakami Kusikiliza Kesi yake


Alikataa kuolewa ili amkomboe mama yake... Lakini mama ndiye aliyemuuza!

GORYANAH –Hii ni story ya Moto Sana yenye hisia na Mafunzo, binti jasiri anayepambana na siri nzito, umaskini na hatari kubwa kwa ndoto zake! Pakua app yetu ufurahie Sehemu ya 1 Hadi ya 5,na mwendelezo wake kila JUMAMOSI SAA MOJA KAMILI JIONI BURE!


Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa

                               app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii 

No comments