Kocha wa Morocco Haichukulii Poa Tanzania, Anajua Vizuri Moto wa Ligi Yetu

Tunapaswa kuwaheshimu Tanzania, wana ligi nzuri (NBCPL) na wana wachezaji wanaocheza mataifa ya nje.
“Hakuna timu ndogo kwenye AFCON. Unapoteza mchezo mmoja na unatolewa, hii hatua haina chumba cha makosa kabisa.” – Walid Regragui, kocha wa Morocco akizungumzia mchezo dhidi ya Tanzania.
Mechi itapigwa kesho dimba la Prince Moulay Abdellah kuanzia saa 1:00 usiku
Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa
app hii aipatikani google playstore kwa sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii


No comments