Masanja uso kwa uso na Geo Devi alamba maokoto

Mbali ya kuwa Mchungaji lakini pia mchekeshaji bora kwa miaka yote jambo ambalo linapelekea kuwa miongoni mwa watanagazaji bora wanao burudisha jamii kwenye vipindi mbalimbali vya redioni hatimaye kwa mara nyingine Masanja Mkandamizaji amekutana tena na Nabii Mkuu Geo Devi Mkoani Dodoma na kuzungumza nae kwa upana wa ainayake


No comments