Subscribe Us

Breaking News

Wavuvi wa Msasani Beach wakutwa na jambo kubwa leo hii

 

Mapema leo kikundi cha Generation Samia kimetua katika fukwe ya Bahari ya Msasani Soko la Samaki Msasani kwa ajili ya kuendelea Kampeni za Usafi katika Jiji hili la Dar es Salaam.

Hii ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya Genera Samia na pia wameahidi kutembelea sehemu mbalimbali za jiji hili zenye uhitaji mkubwa wa Usafi ikiwemo hata Mahospitalini.

Wasanii mbalimbali walijumuika na Generation Samia katika kufanya usafi kwenye Ufukwe huu wa Msasani Beach wakiwemo Asha Boko, Love wa Juakali, Dora wa Juakali, Sophy wa Juakali, Samofi, pamoja na Anko Zumo.

No comments