Rasmi Zamaleck Wapewa Alama 3 Baada ya Ahly Kugomea Derby
Shirikisho la soka la Misri limeipatia Zamaleck alama tatu baada ya Ahly kutokutokea kwenye mchezo wa Dabi wakishinikiza mchezo huo uchezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi
Pia Ahly atapokonywa alama tatu kwenye alama zake za Jumla mwishoni mwa Msimu
Kumbe ndio maana hawa wanakuwa ligi namba moja hawana Siasa wa vipengele😂
Cc #MickyJnr
Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa
app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii




No comments