Subscribe Us

Breaking News

Waathirika Ghoroga la Kariakoo Wakimbilia Mahakamani Kudai Fidia


Waathirika Ghoroga la Kariakoo Wakimbilia Mahakamani Kudai Fidia


Wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo yanakuja kufuatia athari walizozipata kutokana na ajali hiyo ikiwemo upotevu wa mali na upotevu wa maisha kwa baadhi ya wenzao

Kesi hiyo ya ardhi namba 6075 ya mwaka 2025 inatajwa leo, Jumanne Aprili 29.2025 Mahakamani hapo chini ya Jaji Mohamedi Gwae



Download/Pakua/Install App ya Abedijr kupitia google crome Bofya Hapa

                               app hii aipatikani google playstore ka sasa hupatikana kwenye wavuti yetu hii 

No comments